top of page
TMT- DAR ES SALAAM
Judge Monalisa | Judge Roy |
---|---|
Judge Richie |
Baada ya Kuzunguka kanda tano za Tanzania Sasa ni Zamu ya Kanda ya Pwani inayohusisha Mikoa ya Dar Es Salaam, Mkoa wa Pwani na Morogoro.
Shindano la Tanzania Movie Talents litaanza Rasmi Siku ya Ijumaa tarehe 30 Mei 2014 katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Jijini DAr Es Salaam karibia na Chuo Cha IFM.Zoezi la Kuchukua Fomu litaanza kesho kuanzia saa mbili asubuhi katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Jijini Dar.
Na Fomu zetu ni bure kabisa wala haziuzwi
As it happened:
30th May-friday
Audition Starts
Tony Akwesa
Msimamizi wa Mashindano ya Tanzania Movie Talents
Tony Akwesa
Msimamizi wa Mashindano ya Tanzania Movie Talents
1/6
TMT DAR ES SALAAM
POSTPONED TO JUNE.
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSITISHWA KWA SHINDANO LA TMT KWA KANDA YA PWANI KUTOKANA NA MSIBA ULIOMKUTA MMOJA WA MAJAJI WETU (TMT) NA SOTE KWA JUMLA.
16th June-Monday
Audition continues
1/6
18th June-wednesday
Audition still hot.
1/6
TMT DAR ES SALAAM
ENDS.
MARA BAADA YA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) KUMALIZIKA KANDA YA PWANI, WATANZANIA SASA KUANZA KUWAPIGIA KURA WASHINDI
1/4
bottom of page