Kitendawili teaser trailer.
MBAZI ni kijana aliyezaliwa kwenye familia ya kimasikini mkoani kilimanjaro, anakwenda mkoani kigoma huko anapendana na NYAMIZI binti mkimbizi wa kinyarwanda.Anaamua kumtorosha na kurudi nae kijijini kwao, lakini Mambo yanapozidi kuwa magumu anamua kwenda Daresalam kutafuta maisha akimuacha NYAMIZI akiwa na Mtoto mdogo.Akiwa Daresalam anajikuta akiishi jela na kupoteza mawasiliano na familia yake kwa miaka mitatu.Anamaliza kifungo na kurudi kijijini na KITENDAWILI,máma yake na Mtoto wake walishafariki na mkewe anaishi na mwanaume mwingine na tayari ni mjamzito.
IPO MADUKANI.
previews.
FAMILY CURSE
SIRI YA MTUNGI
SUNSHINE - BEN PAUL NEW MOVIE
MR. JOHNSON'S GREAT SPEECH
MDUNDIKO
Trailers
FOOLISH AGE
NETWORK
FIGO
SANDUKU LA BABU
FEDHEHA
I LOVE MWANZA