top of page

NEVER GIVE UP.

IPO SOKONI NA MITAANI SASA.

 

Hashim Kambi | Van Vicker | Irene Paul |Slim Omary

Coming soon - This November.

 

In the news today.

Kampuni ya Proin Promotions leo Alhamisi tarehe 15 mwezi wa 5. imetangaza rasmi kudhamini ligi ya mpira wa miguu kwa wanawake inayotarajiwa kuchezwa mnamo mwezi wa nane mwaka huu Jijini Dar Es Salaam ambapo itahusisha timu za wanawake washindi kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania.

 

MAPENZI YA MUNGU - GOD'S LOVE

​Proin Promotions wadhamini TFF ligi kuu ya wanawake.

MAPENZI YA MUNGU -IPO MADUKANI NA MITAANI SASA.

Cinema hii  ambayo imewakutanisha wasanii mahiri wa hapa hapa Tanzania ambapo Mmoja kati ya Wasanii waliocheza filamu hiyo Ni Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya anayejulikana kama Linah Sanga, kwa Kushirikiana na Elizabeth Michael bila Kumsahau Flora Mtegoha ambae ni Mama Mzazi wa Marehemu Steven Kanumba watakuwa ndani ya filamu Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU...Ni Filamu ambayo Kisa chake na Mafunzo yake yanasisimua lakini Pia ni Moja kati ya filamu ambayo kiukweli ina hadhi na vigezo vya kimataifa......

Nimefika hapa leo sio kwa Ujanja wangu Bali ni Kwa "Mapenzi ya Mungu..."
 

Filamu ya "Mapenzi ya Mungu" ni moja ya filamu ambayo Msanii Linah pamoja na Mama Mzazi wa Marehemu Kanumba wameonyesha uwezo wa hali ya juu na kuthibitisha kuwa kweli Sanaa ni Kazi.

 

 

 

Filamu hii itasambazwa na Kampuni mahiri ya Proin Promotions Ltd.

 

KAMPUNI YA PROIN PROMOTIONS LIMITED YASAINI MKATABA NA MZEE YUSUPH KWAAJILI YA KUSAMBAZA FILAMU YAKE IITWAYO NITADUMU NAE

Hatimaye Mzee Yusuph atambulisha rasmi ujio wake katika Tasnia ya Filamu leo mara baada ya kuitambulisha filamu yake mpya na ya Kwanza iitwayo NITADUMU NAE ambapo filamu hiyo ni moja ya filamu ambazo zimetoka katika nyimbo zake.

 

Akiongea na Waandishi wa Habari Mzee Yusuph alisema "Filamu hii nimeitengeneza muda mrefu sana na imetoka katika nyimbo zangu lakini nilishindwa kuisambaza kutokana na kukosa Msambazaji ambaye anaweza kukubaliana na vigezo vyangu lakini Kwa bahati nzuri Proin Promotions imeweza kuwa na vigezo ambavyo mimi nimekubaliana navyo na nimeridhika navyo ndio maana nimeona wanaweza kusambaza filamu yangu" 

 

Na Pia ameelezea sababu kubwa ya yeye kuamua kufanya kazi na Proin Promotions ni kwamba "Kampuni ya Proin Promotions hainunui hakimiliki za wasanii ndio maana nimeona nifanye nao kazi"

 

Vilevile Filamu ya Mzee Yusuph ishaingia sokoni leo na inasambazwa na Kampuni mahiri ya Proin Promotions Limited ambapo filamu hiyo inapatikana Nchi nzima kuanzia leo.

 

Mbali na hiyo pia Mzee Yusuph amesema kuwa sasa anabadili nyimbo zake kwenda kwenye filamu kwasababu nyimbo zake zote zina uwezo mkubwa wakuwa filamu ndio maana kwa kuanza ameanza na Nyimbo yake ya Nitadumu Nae.

 

 

 

FILAMU ZOTE ZA PROIN PAMOJA NA SHOW ZOTE ZA TMT 2014 ZITAKUWA ZIKIPATIKA MTANDAONI, UNAWEZA KUANGALIA MTANDAONI, TUKAKUKODISHA MTANDAONI AU TUKAKUUZIA KABISA KWA BEI NAFUU KABISA.

 

TAREHE 15 JAN 2015 TUNAZINDUA MPANGO WA KUUZA FILAMU ZETU KWENYE MITANDAO

​Proin DVD

Proin Promotions DVD zina ubora wa hali ya juu.
Zinadumu kwa muda mrefu bila kupata scratch kwa sababu zinatengezwa kwa teknologia mpya ya kisasa. Vilevile hazichagui mashini na quality yake ya picha/sauti ni babkubwa.

​

 

 

​

 

​SANDUKU LA BABU.ipo madukani

Yaliyomo ndani ni zaidi ya historia!!

IPO MADUKANI SASA.

WAHI NAKALA YAKO.

follow us:

© 2015 by Poseidon, all rights reserved.

  • Facebook Classic
  • Twitter Classic
  • c-youtube
bottom of page