top of page

TMT - Tanzania Movie Talents .

Brought to you by Proin Promotions Limited .

 

PROIN PROMOTIONS LIMITED inakuletea Mashindano ya Kusaka Vipaji Vya Uigizaji Nchini Tanzania Ambapo Tutasaka Vipaji kwa njia ya mashindano katika mikoa ya Tanzania ambapo watapatikana Washindi wa 3 kwa kila Mkoa na Washindi wote watafika Dar Es Salaam na Hatimaye atapatikana Mshindi Mmoja ambaye atajinyakulia Kitita Cha Sh Milioni 50 za Kitanzania.

Like ukurasa wetu wa Facebook ili kuweza Kufahamu Tutafika lini Mkoani Kwako….Ya Kwanza Kutoka Proin Promotions Limited Watengenezaji, Wauzaji na Wasambazaji wa Filamu za Kitanzania

 

IFUATAYO NDIO MIKOA 6 TUTAKAYOANZA NAYO KATIKA AWAMU YA KWANZA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA KATIKA SHINDANO LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE TALENTS

MIKOA HIYO NI

1:DAR ES SALAAM
2:DODOMA
3:ARUSHA
4:MWANZA
5:MBEYA

6:MTWARA

  • Facebook Classic
  • Twitter Classic
  • Instagram App Icon

Visit us

Follow us

Inst us

 

Tanzania Movie Talents TMT mwanza

 

 

Tanzania Movie Talents. Mwanza Preparations

 

Tanzania Movie Talents AD

 

 

TMT Mbeya episode- Teaser Trailer

 

 

TMT Tangazo Final Mlimani City

 

 

TMT Final Winner 2014- Mwanaafa

follow us:

© 2015 by Poseidon, all rights reserved.

  • Facebook Classic
  • Twitter Classic
  • c-youtube
bottom of page